Darhotwire.com haitahusika na maoni ya msomaji yeyote
aliyotuma katika ukurasa huu kuhusiana na story zetu.
Bengo, Owino kukanyaga ardhi ya Lukuvi.
hakika kama kweli Yanga wanategemea hao akina bengo na Owino mimi nadhani watakuwa wanajidanganya,hebu tuangalie upande wa shilingi kwa nini tuwategemee wazawa hawa hawa ambao ndio hasa wenye uchungu na Nchi zao kama wanavyofanya hao wanaotegemewa kuwa watafanya vizuri? Hebu ona wakiwa makwao wanavyocheza halafu linganisha na wanapokuwa hapa wanavyocheza utagundua kitu,hatuwezi kutumia fedha nyingi kuwapa wachezaji wa Nje wakati wakiwa hapa ndani wanfanya ovyo kabisa kwa sababu hawachezei uzalendo.Mimi naonba tuangalie upya hii hali vinginevyo Mh hatutafika.
* Comment by linu ngunda
* Date Thursday, December 17, 2009
View Original Story