/td> Tafuta DHWTangazaTuandikie

Darhotwire.com haitahusika na maoni ya msomaji yeyote aliyotuma katika ukurasa huu kuhusiana na story zetu.

Mzungu mwingine ammwagia maji machafu Askari


Hawa wazungu sasa wapigwe palanje warudi kwao!

* Comment by Simon komba
* Date Friday, December 18, 2009
View Original Story

hukumu hiyo haitoshi kabisa kwani kwenye inchi zao wananyanyasa sana watu wa mataifa mengine, angechapwa fimbo na makofi kabla ya kupelekwa jela, pole sana kaka kwa kumwagiwa maji machafu

* Comment by dux
* Date Sunday, December 20, 2009
View Original Story


Archive:

Copyright © 2010 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.