Darhotwire.com haitahusika na maoni ya msomaji yeyote
aliyotuma katika ukurasa huu kuhusiana na story zetu.
I’m Not a Flirt!
Upo juu pia mtamuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
* Comment by jizzle
* Date Friday, December 18, 2009
View Original Story
kuimba kwa lugha nyingine eti kwa sababu unataka soko zaidi ni ufinyu wa maarifa. mbona wao wanatumia lugha yao na nyimbo zao zinauzika sana. kina shakira wamimba kwa lugha ambazo hata hazitumiki kimataifa na soko la nyimbo hizo liko juu ndo sembuse kiswahili inayotumika karibu dunia yote sasa?.
kuwa mbunifu kwenye vionjo vya muziki na si katika lugha.
Zaidi ya yote nakupongeza kwa kuja na kitu kipya.
* Comment by tiba
* Date Friday, December 18, 2009
View Original Story
Good job Miss watu watakuponda lakini Dont mind them,kuchanganya Lugha sio mbaya huyo anaye toa mfano wakina shakira wanao imba kispash hajui lugha hiyo inafahamika kila upande wa dunia Kiswahili ndio tunaanza bado hakijakua kiivyo.So fanya mziki unavyijisikia boresha muziki wako imba lugha uanayoitaka ipe roho kitu inataka.mashabiki wako wapo nawanafiki wapo pia.Be carefully.
* Comment by Bigydada
* Date Monday, December 21, 2009
View Original Story