/td> Tafuta DHWTangazaTuandikie

Darhotwire.com haitahusika na maoni ya msomaji yeyote aliyotuma katika ukurasa huu kuhusiana na story zetu.

Jinsi ya kupamba X-mass tree.


Umejitahidi kidogo tu. Kma la seven vile. Mbona hujasema kama ni huo mti wa x mas kiwango cha urefu unaofaa sebureni ni kipi/ Au ndo mambo ya Bongo hakuna viwango? Na kama unapamba chumba cha msela kama mimi viwango vyake ni vipi,sebureni na chumba cha msela sawa tu?

Kuna miti ya x mas aina ngapi? au ndo yote ni sawa tu, ipi ya kuweka juu ya stoo, mezani au cchini kwani ina urefu tofauti. wewe vipi??
Kwa leo nisikuleweshe kwa vipi vipi dada wa watu! Hata hivyo umejalibu kibongo bongo hivyo hivyo tu.

Nijibu nikuambie.
Clavery

* Comment by Clavery
* Date Tuesday, December 29, 2009
View Original Story


Archive:

Copyright © 2010 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.