Darhotwire.com haitahusika na maoni ya msomaji yeyote
aliyotuma katika ukurasa huu kuhusiana na story zetu.
Mashabiki wataka mechi usiku
kimsingi nami naunga mkono mawazo ya wadau wa soka hasa wa timu hizi mbili (Yanga na Simba)kuhus mechi kuchezwa usiku ili kwa pamoja tuweze kuangalia burudani hiyo ambayo naaamini Yanga Africa itaondoa uteja kwa wenzao hao.
* Comment by mohammed gola
* Date Tuesday, December 22, 2009
View Original Story
Dah! Kimsingi game ikipigwa mchana itatunyima sana uhondo hata sisi wanafunzi wa vyuo coz lect. Zinaenda hadi saa 12 hvyo ni vema TFF wakalitizama swala hili kwa jicho la tatu
* Comment by Said mkindi
* Date Tuesday, December 22, 2009
View Original Story