Darhotwire.com haitahusika na maoni ya msomaji yeyote
aliyotuma katika ukurasa huu kuhusiana na story zetu.
TOT- kutowika Krismas
Paka ana panya kwa asili ni maadui. Macho yanawawezesha kuona na pua kunusa. Nani zaidi kati yao?
* Comment by
* Date Thursday, November 26, 2009
Mimi naku-enjoy tu wewe unahisi umefichama saaana! Sekunde si nying utakuwa kitoweo.Ngimilanga-makambako
* Comment by
* Date Thursday, November 26, 2009
Hayo mapaka ya mjini ayali panya wanacheza tu,
Marko,West Africa.
* Comment by
* Date Thursday, November 26, 2009
Hayo mapaka ya mjini ayali panya wanacheza tu,
Marko,West Africa.
* Comment by
* Date Thursday, November 26, 2009
huyu nikimkamata namkaanga, then naenda kununua chips.... Kido.
* Comment by
* Date Thursday, November 26, 2009
Paka:- Leo lazima kieleweke..ukizingatia nyama imepanda bei
Panya:- Leo kweli nimefulia...najuuuuta kuja mtaa huu.
QeenB
* Comment by
* Date Thursday, November 26, 2009
Duu!!! Pusi kakiotea kitoeo,bwana mdogo panya leo atua mikononi,hee!
* Comment by
* Date Thursday, November 26, 2009
pusi nivizie tu ila kwa hapa hunipati. mbwiga
* Comment by
* Date Thursday, November 26, 2009
Naweza kuiona bila ngozi. Mayaka
* Comment by
* Date Friday, November 27, 2009
Paka anamuwinda panya
* Comment by
* Date Friday, November 27, 2009
Paka na panya wakicheza kombolela..
Panya: Hapa huyu paka kaula.. hanioni wala nini, atatafuta mpka achoke
* Comment by
* Date Friday, November 27, 2009
kosa moja,linagarimu masiha.shinanuma arusha
* Comment by
* Date Friday, November 27, 2009
unanichungulia? njoo mwenyewe kabla sijakufata..Sley- U.S
* Comment by
* Date Friday, November 27, 2009
noma sana.
Mugisha-Ngeiyamu.Bk-Kagera
* Comment by
* Date Friday, November 27, 2009
Panya panya kimbia upesi paka akija atakukamata. Ishu hiyo
* Comment by
* Date Friday, November 27, 2009
jaribu kama utanikuta "muone kwanza" huyoooooooo!!! Charles Arusha
* Comment by
* Date Friday, November 27, 2009
Aaaa...leo utanieleza jana c ulinipiga tobo mbaka nikateleza ukanicheka,lazima nikuchumbie hapa hapa...Arnold wa Tegeta
* Comment by
* Date Friday, November 27, 2009
Kudadadeki, we fala leo ndo 40 yuako, jinsi nilivyo na unenge, nakukamua kama sikujui. P.C
* Comment by
* Date Friday, November 27, 2009
Yaani leo umetokeza anga zangu,nitakuonyesha-M2mbika wa Mb'ti,DSM.
* Comment by
* Date Friday, November 27, 2009
da mazee kitoweo hicho
* Comment by
* Date Friday, November 27, 2009
haka kapaka au kapanya kaonekana kanyemelea kitu fulani ,lakini pana kitu kanaogopa kujitokeza.au kameshaiba sasa kanangoja kaone je naonekana<<
* Comment by
* Date Friday, November 27, 2009
Yaani hapo ni kama mafisadi wabongo wanavyowafanya walalahoi. QX PUB AR
* Comment by
* Date Friday, November 27, 2009
Toti mmefulia msituzingue eti kipindi cha sikukuu nyie ndio mnajipanga kwa mitwangwo mipya, sijawahi sikia wakati najua wasanii huwa mnajiandaa sana na sikukuu cose maonyesho yasikukuu ndio huwa yanawatoa uhongo kwani. Tot mnabendi nzuri bt tatizo leo washamba wanamziki wengi wanamambo yakiswahili hana mambo ya kielimu.
* Comment by franco
* Date Sunday, December 27, 2009