Darhotwire.com haitahusika na maoni ya msomaji yeyote
aliyotuma katika ukurasa huu kuhusiana na story zetu.
Barnabasi awachana!!
Acha marefu kijana, hivi unajua kama R.Kelly msanii mmarekani hakupitia shule, lakini tazama anayo yafanya katika utuzi wa mashahiri ma mengine. zungumza mengine lakini usizingishie shule. mi nafkiri kwamba muhimu bi kipaji kwanza kwani unaweza kuusoma muziki na ukawa tabani uwanjanim kwani si wengi tu hauwajui.
* Comment by Billy
* Date Tuesday, January 19, 2010
View Original Story