Darhotwire.com haitahusika na maoni ya msomaji yeyote
aliyotuma katika ukurasa huu kuhusiana na story zetu.
Stars kumenyana na Drogba J'3
siku zote duniani timu ikifungwa wa kulaumiwa ni kocha isipokuwa nchi ya Tanzania sasa sijui sie tuko dunia ipi;juzijuzi tumeona Mark Hughes kafukuzwa wakati timu iko nafasi ya sita ila hayo hayakuwa malengo ya wajiri wake wenyewe walitaka awe kwenye nne bora.sasa sie tumemleta maximo tukitaka atupeleke CAF KULE Ghana kashindwa A.Kusini kashindwa lakini bado tuko nae tunashangilia kupanda viwango vya fifa wakati mechi zenyewe nyingi ni za kisiasa tunacheza na angola wakati wa tarehe ambazo sio za FIFA HIVYO TUNACHEZA NA wachezaji wa nyumbani tu tunatoa droo tunashangilia ikija kwenye mashindano ya kufuzu CAF au kombe la dunia unakutana na Angola yenye wachezaji wa ulaya tunafungwa,unacheza na Ivorycost kwenye CHAN unaifunga FIFA wenyewe wanakupandisha kwenye Rank zao hawaangalii umecheza na kikosi kipi wenye wanaangalia jina la nchi unayoceza nayo wanakupandisha kama ukiifunga,sasa angalia karibuni unacheza na ivorycost yenye wachezaji wote wa ulaya isipokuwa mmoja tu,kweli tukishinda au kudraw tunahaki ya kupanda.halafu angalia nchi za wenzetu wanachagua wachezaji kutokana na kiwango sio umri mtu kama Drogba ana miaka 33 lakini bado yuko timu ya taifa sie Maulid miaka 32 ni mzee wakati leo ndo anahitajika maanake ligi ya angola sio sawa na ligi ya mtoto Boko. Boko anahitajika timu ya taifa ila inabidi akae benchi ajifunze kwa kaka zake.Halafu hii issue ya nidhamu ni muhimu lakini adhabu zetu za kocha sio mechi tatu/tano zinatosha mchezaji kujua kosa lake mbona Mchezaji Mido wa Misri CAF ya 2006 wakati SHEHATA anamfanyia sub ili aingie Zaki aligoma kwanza kutoka halafu badae akatoka anamfanyia kochawake[SHEHATA]kuwa hana akili shehata alimpa adhabu ya kutokumuita kwenye timu mechi kadhaa lakini leo hii yuko kwenye timu useme hapa nyuma kiwango chake kilikuwa sio kizuri .Na wachezaji wa namna hiyo wakorofi au wasio na nidhamu ni wengi [wakina BENY Maccarty wa africa kusini,Mtu,patric Kluvert etc]ila linapokuja suala la taifa ni jambo jingine ile ni kama vita huwezi kuacha askari mzuri vitani eti hana nizamu
* Comment by ndiba
* Date Thursday, December 31, 2009
View Original Story