/td> Tafuta DHWTangazaTuandikie

Darhotwire.com haitahusika na maoni ya msomaji yeyote aliyotuma katika ukurasa huu kuhusiana na story zetu.

Nani kumng'ong'a kisogo mwenzake?


Hongera sana taifa stars mnacheza vinzuri achaneni watu ambao wanawabeza mimi sishangai kwa watanzania kwa sababu wanamaneno mengi sana kama kungekuwa na mashindano ya kusema Tanzania ingekuwa ya kwanza kwa kusema lakini utendaji wao ni mdogo sana wamejaaa mjungu sana hata hawaoni aibu kusema kuwa maximo hajafanya kitu acheni hizo mtu akifanya vizuri apewe haki yake.hao aikna kibandeni mziray wamekaa na Timu ya Taifa hakuna kitu, sasa hivi wanaleta maneno maneno yasiyokuwa na kichwa wala mguu. Uzuri wa Kocha huyo ameshapata timu ya kufundisha huko Israeli mtashangaa kama mtaleta vikocha vyenu vya Tanzania mtarumbana mpaka maana wote mtakuwa wa watanzaia Tenga usikubali kutafuta kocha wa Bongo Makocha wa Bongo ni wababaishaji wanautaka ukocha ili wapate hivyo vihela wanamwonae wivu kocha huyo wa Kibrazill Mimi nakutakia kila la heri Maximo na Mungu atakulinda mziray ni mnafiki sana. nakuambia Maximo akiondoka Timu imekufa hiyo kuna wacheza mpaka wamepata timu za kuchezea nje ni kutokana na huyo kocha sasa akina mziray mmekuwa na Timu ya Taifa mbona hatukuona vitu kama hivyo acheni hizo fanya kazi zenu sio midomo wa Tz mnamidomo sana tena sana mpaka mnakera JK usiwatafutie tena Kochawatafute wenyewe ila lawama wapate wao wenyewe. Udumu Maximo

* Comment by estar
* Date Tuesday, January 5, 2010
View Original Story


Archive:

Copyright © 2010 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.