/td> Tafuta DHWTangazaTuandikie

Darhotwire.com haitahusika na maoni ya msomaji yeyote aliyotuma katika ukurasa huu kuhusiana na story zetu.

Maisha plus wako ndani ya kijiji


dah!inaonekana hiyo sehemu kuna wizi kinoma yani mpaka maua yanapigwa m/roro.don

* Comment by
* Date Tuesday, December 1, 2009
View Original Story

duu inaonekana haya maua ni makatili hadi kufikia kufungwa cheni by kz frm rock city

* Comment by
* Date Tuesday, December 1, 2009
View Original Story

bora kuyafunga minyororo maana watanzania huwa hawana dogo wataiba tu. aka ma bonge sgd

* Comment by
* Date Tuesday, December 1, 2009
View Original Story

Aaah DSM mmezidi, inaoneshaa hata mauwa mnaiba, nomaa kwelikweli!!!
RoySnr

* Comment by
* Date Tuesday, December 1, 2009
View Original Story

Lazima hapo ni bongo tu,bei ya mnyororo ni kubwa kuliko hata hayo maua pori,

* Comment by
* Date Tuesday, December 1, 2009
View Original Story

kutokana na wizi wa maua kushamiri ... dawa hii itafaa sana -- Don

* Comment by
* Date Tuesday, December 1, 2009
View Original Story

jamaa wana machungu.
Mugisha-Ngeiyamu.Bk-kagera

* Comment by
* Date Tuesday, December 1, 2009
View Original Story

NAHIIIIIIC KA MIMEA IMEKUWA KOKD DOWN

* Comment by
* Date Tuesday, December 1, 2009
View Original Story

naona wezi wamezidi wakaona bora kupiga minyororo ili wasikwibe.deo$fety wa mail 2 dodoma

* Comment by
* Date Tuesday, December 1, 2009
View Original Story

ibeni na haya sasa...kudadadeki!Sley -US

* Comment by
* Date Wednesday, December 2, 2009
View Original Story

Kama ni kuiba wachukue yote si moja. Mayaka

* Comment by
* Date Wednesday, December 2, 2009
View Original Story

hapa Dude chake maua tu, Ndoo na mnyororo walaaah haitaji.

* Comment by
* Date Wednesday, December 2, 2009
View Original Story

LOh!! Hapo hakuna haja ya security Gurd,ulinzi kamili.H-Songea

* Comment by
* Date Wednesday, December 2, 2009
View Original Story

Haya sasa ni mateso...jua linatuchoma,mvua jetu bado na bado tunatumikia adhabu kali kama hii jamaan sisi sio bangi wala majan ya madawa ya kulevya sis ni maua fresh....Arnold wa tegeta

* Comment by
* Date Wednesday, December 2, 2009
View Original Story

Hamjambo nyote,

Maisha Plus ni njia nzuri sana ya kuwajenga watoto wetu jinsi ya kuishi, kujichanganya, kukubali kuishi maisha ya kila khali na kupambana na ugumu wa maisha ya kuwajenga hapo baadae katika jamii mbalimbali wanazokutana nazo.

Pili hii inawasaidia sana vijana wetu kuwa natural kwa pande zote mbili za Shs. jinsi ya kuishi katika jamii, angalia JKT ilivyowajenga wananchi kwa wale ambao walijaaliwa/kubahatika kupitia JKT, mahali popote walipopangiwa kufanya kazi hawakuweza kulalamika baada ya JKT.Ilikuwa ni lazima upitie JKT na wao wanakiri na ilikuwa haijalishi huyu ni mtoto wa kutoka familia gani wote walipokutana walikuwa uniform.
Kwa maana hiyo ninyi wadau mnaoendesha Maisha Plus boresheni zaidi ya hapo kwa ajili ya kulijenga Taifa la leo hasa kwa hawa vijana wa sasa ambao wanapambana na Grobolization Life, kwao wanajikuta wanapoteza uhalisia wa maisha ya Kiafrika bila wao kufahamu hilo.

Kweli mmebuni kitu jema sana sisi Watanzania na nchi nyingine zenye uasilia wa mwafrika wanawapongezeni sana sana.

Kila lakheri katika kuwajenga wadogo zenu hasa Ndg. Kipanya tunakushukuru sana, usiwe kimnya kama ulivyofanya kwenye tangazo la Bia ilikuwa ni action tu no maelezo, hawa waelimishwe kinadhalia.

Jawa's Mama

* Comment by MRS. E.B. JAWA
* Date Wednesday, January 13, 2010
View Original Story


Archive:

Copyright © 2010 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.