/td> Tafuta DHWTangazaTuandikie

Darhotwire.com haitahusika na maoni ya msomaji yeyote aliyotuma katika ukurasa huu kuhusiana na story zetu.

Frank ampa somo Eliza


Nampongeza Frank kama mtanzania na mwananchi wa kawaida kuguswa kuhusu mafanikio ya Elizabeth. Binadamu wa kawaida tunamapungufu na nirahisi mno kujisahau hasa unapokuwa na mafanikio ya maisha hata kama ni kidogo. Kwa hiyo kwa wasichana wanaobadili tabia kutoka katika tabia zao za asili huo ni ulimbukeni pamoja na kupata mafanikio kidogo na kuona kwamba wao ndio wamepatia maisha na kuanza kuiga ya wenzetu hasa kuingia katyika ngono zembe na kashifa kibao za mapenzi.

Namuunga mkono frank, nami mpia namuombea dada Eliza akae atulie kama jina lake lilivyozuri la Elizabeth, mara nyingi baada ya mitindo na urembo, warembo wengi uamua kuolewa, kwa hiyo kama eliza anayemchumba, ni vyema akakata shauri la kuolewa kuliko kupata kashfa kama za wenzake, nami namuombea kwa mwenyezi mungu amjalie zaidi na zaidi/.

* Comment by Africo Simon
* Date Wednesday, January 6, 2010
View Original Story


Archive:

Copyright © 2010 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.