/td> Tafuta DHWTangazaTuandikie

Darhotwire.com haitahusika na maoni ya msomaji yeyote aliyotuma katika ukurasa huu kuhusiana na story zetu.

Yazidi kupigwa tena Kalenda


Hali kwa sana maskani, hopefully wote mpo mwake na heri ya mwaka mpya na sikukuu nyingine za mwisho wa mwaka.

Nafurahi kuona bado ndinga inadunda na najua washikaji mnachakarika kinoma.

Salaam kwa Shamim, Bwege Eric, Juma, Dume, Dinna, Tito kwa sana na wengine wote.

Mabosi wao zao ni special; Nancy, Regina na Lema

Keep up the good work.

See U

By the way, Yazidi kupigwa tena Kalenda, Nini hiyo?

* Comment by Raybura
* Date Wednesday, January 6, 2010
View Original Story


Archive:

Copyright © 2010 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.