Darhotwire.com haitahusika na maoni ya msomaji yeyote
aliyotuma katika ukurasa huu kuhusiana na story zetu.
Cold Wind
Ebwana hiyo movie wamekamua ile mbaya, kiukweli nimeikubali. hawa jamaa ni macreative wametengeneza kitu chenye mvuto kwa jamii yaani huchoki kuangalia. big up to all, hasa huyo aunt ezekiel huwa namkubali sana katika filamu zake, anajua kuigiza. big up to all walioandaa this movie. itz christian from Tumaini university Iringa. tchaoooooo!!!!!!!!!!!!!!!
* Comment by christian thomas matambi
* Date Tuesday, January 19, 2010
View Original Story