Darhotwire.com haitahusika na maoni ya msomaji yeyote
aliyotuma katika ukurasa huu kuhusiana na story zetu.
Wasira naye..duh!
Samahani mimi maoni yangu yako nje ya topic hiyo hapo juu,kwanza napenda kuwapongeza darhotwire kwa kurudi tena na habari za kila wakati,kwani nakumbuka hapo nyuma milala kidogo,lakini sasa naona mmeamka,ila tatizo ni kwamba sijui niseme aliekuwa anaandika habari hapo nyuma na wa sasa ni sio mtu mmoja ama la,maana mtu anaechapisha hizi habari inawezekana sijui haoni akiandikacho ama ndio tuseme shule ndio inachangia au vp?maana ukianza kuisoma habari yoyote utafikiri jamaa anaongea na wewe face to face,hebu jirekebisheni,mnajua nyie ndio mlikuwa mnaongoza?hivyo msilale na muwe makini na mnachokiandika.sijui ni muhindi ndio anaandika hizi habari au!!maana mi sielewi kabisa
* Comment by Me,maself and I
* Date Friday, January 15, 2010
View Original Story