/td> Tafuta DHWTangazaTuandikie

Darhotwire.com haitahusika na maoni ya msomaji yeyote aliyotuma katika ukurasa huu kuhusiana na story zetu.

Tatizo lenu Malengo tu!


Jamani tuache unafiki, kufa kwa wanamuziki sio kufa kwa muziki. Muziki utabadilisha mwelekeo kuanzia jinzi unavyorekodiwa na producer, mpaka yule anayeimba.Sauti hubadilika kila siku kuwa tamu zaidi na stali zinatoka mpya kila siku.
Kama bongo flava inakufa sababu Juma Necha hasikiki unatakakuniambia mziki wa Bendi umekufa sababu Remi Ongala hasikiki?
Kama wanamuziki hawafiki mbali ni sababu hali ya kiuchumi na jinsi watu hawawezi kusupport mziki huo kwa kupanua masoko.
Fikiria what it takes kuandika mashairi ya mwimbo moja mfano wa professor j , it takes alot of work lakini hawa watu hakuna systeam inaweza kuwasaidia kukuza kazi zao na wanaptoa album huwa zinapotelea mitaani.
Mziki upo na utakuwepo na watu muache kuwakandia hawa vijana casue they put alot of work na so far wamesaidia sana jamii, imagine wasingeimba kabisa wangekuwa wanafanya nini.
Mimi nadhani kuliko kukaa chini na kuandika , na kulia mziki unakufa lets not focus on negatives, tujiulize ni jinsi vipi tutausaidia mziki huu kukua uwekwe kwenye cds na uuzwe vizuri na wasanii wapatehaki yao.
Hata marekani kwenyewe na ulaya wanamuziki wanakuja na kuondoka , mnaongelea Busta rhymes amekubalika? acheni ushamba nyie mlioko bongo mnamkubali lakini soko la kimziki Busta rhymes anastruggle na kila mwana muziki anastruggle na hip hop inazidi kuendelea mbele. Mfano wa Bustarhymes sio hai...he is not doing good at allll.
Kuliko kukaa na kupoint fingers on our artist i think tutoe na kuumiza kichwa kwamba ni j insi gani tutawasaidia. Wengine wanaimbia kwa raha zao sio kutegemea kuwa matajiri
Bongo fleva iko juu

* Comment by Kilongalonga
* Date Sunday, January 24, 2010
View Original Story


Archive:

Copyright © 2010 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.