Darhotwire.com haitahusika na maoni ya msomaji yeyote
aliyotuma katika ukurasa huu kuhusiana na story zetu.
Fresh Jumbe kuwika leo
pouuuuuwaa! mwana endelea kukamua
* Comment by kumbuka
* Date Sunday, January 24, 2010
Endele na mziki wako na zidisha juhudi usikate tamaa kwani una mafanikio makubwa sana ila usiwe mchoyo jaribu kuwaonyesha njia na wasanii wa bongo ili na wao waendelee kutangaza vema mziki wa tanzania usonge mbele.
* Comment by mr kapera
* Date Friday, February 5, 2010