Darhotwire.com haitahusika na maoni ya msomaji yeyote
aliyotuma katika ukurasa huu kuhusiana na story zetu.
Wananchi wacharukia ubabe wa JWTZ!
Haya ni matokeo ya kulea hawa watu kama mayai! Kwa sasa polisi ni wezi kupindukia wanajeshi ni wauaji wa kutisha, tunaomba hao wawili wapatikane isije ikawa ile kauli ya kesi iliyo pita "nendeni mkawasake wauaji" haohao waliopatikana tunataka wahukumiwe kama wauaji wa albino! Watz wenzangu popote pale tulipo tufuatilie jambo hili hadi tuone mwisho wake!
* Comment by Simon komba
* Date Tuesday, January 26, 2010
View Original Story
Hawa wanajeshi wa JWTZ wanajiona wako anga ya pekee yao.
Hawaoni uchungu kuua na hawajui kama hiyo familia imeathirika vibaya kumpoteza mtoto wao mdogo vile.
Mungu atawalaani wao na vizazi vyao milele.
Sisi tunawaombea familia ya Fundikira Mungu awape nguvu na moyo wa uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.
Hao askari Mungu na awatendee navyo weza kadiri ya matendo yao.
* Comment by Mairko katengesya
* Date Wednesday, January 27, 2010
View Original Story
Hawa majeshi wengi wao elimu zao ni ndogo sana na ukiwachunguza kwa makini utagundua wengi ni watoto wa wanajeshi na pia ni form four failures, na ndio maana wamezoea kutumia nguvu kuliko akili, ushauri wangu wa bure kwa jeshi acheni kuingiza jeshini watoto wenu, hiyo ni kazi kama nyingine zinahitaji ujuzi na sio nguvu!!!
Hao walioua sheria ichukue mkondo wake!!!
Ruth
Zanzibar
* Comment by Rochas
* Date Friday, January 29, 2010
View Original Story