/td> Tafuta DHWTangazaTuandikie

Darhotwire.com haitahusika na maoni ya msomaji yeyote aliyotuma katika ukurasa huu kuhusiana na story zetu.

Mvua ya Lowassa ingetucost bilioni 14!


Hii ndo safi,sio abiria wanamtege dereva peke ake

* Comment by
* Date Friday, December 18, 2009
View Original Story

hapo poa mtu wangu,we nkeo na mwanao.no need of daladala. wachina noma
popeye

* Comment by
* Date Friday, December 18, 2009
View Original Story

Lol,, mambo ya teke linalokujia hayoo,,, hii inafaa sana kwenye familia yetu

* Comment by
* Date Friday, December 18, 2009
View Original Story

unyamwezini bwana kuna mambo cheki iyo bic mzeiya. the great ms

* Comment by
* Date Friday, December 18, 2009
View Original Story

huo i mwanzo tu.....sasa tunaleta hadi baiskeli za milango sita.. na hiki kitu co cha kichina..kitu mjerumani mwenyewe..

* Comment by
* Date Friday, December 18, 2009
View Original Story

iko juu bike.
Mugisha-Ngeiyamu.Bk-Kagera

* Comment by
* Date Saturday, December 19, 2009
View Original Story

duh!hii ni kali lakini hata bongo zipo maeneo ya MCHAMBAWIMA.KIBOPE- DSM

* Comment by
* Date Saturday, December 19, 2009
View Original Story

Nendeni zenu huko,hapo kama bunge lingeamua kila mbunge alipwe hizo hela kama mshahara sidhani kama kuna hata mbunge mmoja angethubutu kusema ni mshahara mkubwa,huo mradi una mafanikio yake,hakuna kitu kizuri kisichokuwa na gharama,we ona wenzetu huko wanavyofaidika na kilimo,kama sikosei ni nchi inayoongoza kwa kutoa mchele mzuri,sasa badala ya kukaa na kufukiria ni jinsi gani mngeweza kuwaomba wawapunguzie bei,nyie mnabaki kumtupia lawama mzee wa watu,Tanzania sio masikini kabisa ila viongozi ndio mnafanya nchi inakuwa masikini,we angalia TRA kila mwaka inakusanya sh ngapi,wacha TRA,kuna dhahabu,almasi,utalii na n.k,ukiachia mbali mapesa mlioiibia BOT,Hivi nyie viongozi mnafanya watu ni machizi sio,ngoja tu siku yenu itafika,mtaiona TZ chungu,mbaya zaidi kinachotuuma ni mitoto yenu iko huku nje imenenepeana na kujigamba na mipesa ya walipa kodi,endeleeni hivyo hivyo kuwapa vidonge vya usingizi watanzania walio nyumbani,ila siku mkikosea dozi tu na wakaamka,kweli cha moto mtakiona.

* Comment by Me,maself and I
* Date Saturday, January 30, 2010
View Original Story


Archive:

Copyright © 2010 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.