/td> Tafuta DHWTangazaTuandikie

Darhotwire.com haitahusika na maoni ya msomaji yeyote aliyotuma katika ukurasa huu kuhusiana na story zetu.

Always feki zaanza kuwatesa dada zetu!


mimi naitwa levina Rugangila kutoka Arusha.Maoni yangu kuusu hizo always feki tunaomba serikali itusaidie wananchi hasa wakina mama ni hatari sana kwa afya zetu.Lazima hao watu wanajulikana wanaoinziza hizo always feki.Ebu fikirieni baada ya miaka miwili itakuwaje na always tunatumia kila mwezi.Alwas inavaliwa ndani tena sehemu nyeti sana kama ni maswala ya kuwasha ndio tutapata hata fangazi katika sehemu za siri. Jamani serikali tuwe macho. Siku zote kitu cha bei rahisi ni hatari sana.
wakina dada wakina mama tuungane kupinga bidhaa feki maana ni hatari sana kwetu na serikali ituunge mikono tena siyo mkono.

* Comment by levina
* Date Thursday, February 4, 2010
View Original Story


Archive:

Copyright © 2010 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.