/td> Tafuta DHWTangazaTuandikie

Darhotwire.com haitahusika na maoni ya msomaji yeyote aliyotuma katika ukurasa huu kuhusiana na story zetu.

Daktari amlewesha mgonjwa,na kumla uroda!


hatuwahitaji madaktari kama hawa,huyu ni mpuuzi mkubwa na hajui maadili ya kazi yake!tunategemea madaktari wasaidie jamii zetu kunako maradhi ila ye anafanya kinyume...ni wangapi amewabaka na hawakujua?huenda ni wengi sana!!!awajibishwe kisheria kwa adhabu kali...

* Comment by Rama Magera
* Date Monday, February 1, 2010
View Original Story

mambo mengne yawe fundisho kwa jamii,watu km hao ni kunyonga tu ili ku nyngne asitokee doctor uchwara km huyo make kaidhalilisha fani nzima ya udaktari!

* Comment by mdau
* Date Tuesday, February 2, 2010
View Original Story


Archive:

Copyright © 2010 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.