/td> Tafuta DHWTangazaTuandikie

Darhotwire.com haitahusika na maoni ya msomaji yeyote aliyotuma katika ukurasa huu kuhusiana na story zetu.

Matibabu sijalipiwa na JK - Mzee wa Kiraracha


kwanza unakila sababu ya kumshukuru Mungu kwa ajili ya uponyaji wako ,Mungu ni mwema kwako Mrema .Mimi ningefurahi sana kama rais wa Nchi angekulipia kusudi maadui zako waaibike urafiki wako wewe na rais wa nchi mbona ni kitu cha kawaida. Hawa watu wanaozua kuwa umepelekwa na Rais wa nchi ni vizabinazabina wa mtaa tu wanakutaka maneno wewe ungewaambia ndio tuone wangefanya nini mbona rais anasaidia watu wengi sana sasa cha ajabu kipi wewe kupelekwa na rais wanakuonea wivu baba mkubwa wetu achana nao wewe songa mbele na urafiki wako na rais usisikie ya watu .watu ni wabaya sana ni afadhali ukutana na simba atakuangalia akuache umerudi salama nenda vunjo ukagombee ubunge na utapata tu ukimshirikisha Mungu zaidi kwa nguvu zako hutaweza.Mungu ni zaidi

* Comment by eda
* Date Tuesday, February 2, 2010
View Original Story

Huyu mzee yaelekea naye kajilimbikizia fedha za kutosha kiasi cha kujinadi kwamba hana sababu ya kughalimiwa matibabu.Inanipa taabu kufikiri kwamba yeye si mmoja wa mafisadi kwani alikuwemo kwenye ile awamu ya mzee Ruksa.Halafu nionavyo mimi ni kwamba mzee huyu anakaribia kuungana na mzee Kawawa,hivyo ni vema basi mchakato mzima za kuandaa mazishi yake ukaanza kufanyika sasa.

* Comment by Ntundalayekumwoya
* Date Thursday, February 4, 2010
View Original Story


Archive:

Copyright © 2010 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.