Darhotwire.com haitahusika na maoni ya msomaji yeyote
aliyotuma katika ukurasa huu kuhusiana na story zetu.
Kopa ndani ya TOT
Ni vizuri kabisa maana wamekuwa kimya muda mrefu, lakini wakaze buti maana soko la taarabu sasa ni laushindani ya hali ya juu, si kama zamani ya nyimbo zake TX MPENZI, WRONG NUMBER,GWIJI,MUFLISI na zingine ambazo zilitamba sana, wakiwa tot na muungano tu, lakini sasa bendi ni nyingi sana hivo watulize vichwa na watoe vibao vya akili na vifunikwe vinginevyo vinaweza kupotea muda mfupi.
* Comment by mr kapera
* Date Friday, February 5, 2010