Darhotwire.com haitahusika na maoni ya msomaji yeyote
aliyotuma katika ukurasa huu kuhusiana na story zetu.
Kibao chamgeukia Afande Kova!
Kwa kweli sina imani na kova tenaa kwa jinsi nilivyokuwa namuheshimu mungu pekee ndio anajua.jamani tuko kwenye karne ya ngapi mpaka tuwe tunaficha maovu na kuwafaidisha wachache ndugu zangu wa tz tubadilike. kwakweli hatujastaarabika bado.kwakweli huku uaibuni ni haki bin haki ukienda sehemu yeyote unatatuliwa tatizo lako na wakati mwingine kwa njia ya simu tu.lkn hapo home mhhh ukienda kila sehemu watu wamendekeza njaaa hamridhiki na mnacho kipataa ama hakika afrika imelaaniwaa kila kitu naomba naomba
* Comment by Niwa-norway
* Date Wednesday, February 3, 2010
View Original Story
Hapo akova chali, tusubirie yajayo
* Comment by Emmnauel S. Basondole
* Date Thursday, February 4, 2010
View Original Story
Kama mwalimu hajui wanafunzi itakuwaje???
* Comment by Ba Mcheja
* Date Friday, February 5, 2010
View Original Story