/td> Tafuta DHWTangazaTuandikie

Darhotwire.com haitahusika na maoni ya msomaji yeyote aliyotuma katika ukurasa huu kuhusiana na story zetu.

Hatimaye Jerry Muro atinga kwa Pilato!


Mungu yupo pamoja nanyi na watanzania wapenda maendeleo tunawaombea kila kitu kitakuwa fine.Tunahitaji maendeleo nyumbani sio kila siku yale yale.Tunahitaji waandishi wa habari jasiri kama wewe.

* Comment by Niwa -Norway
* Date Friday, February 5, 2010
View Original Story

Akisha hukumiwa Jerry tunaomba na Kova ahukumiwe kwa aliyoyatenda PERIOD

* Comment by ANNIE
* Date Friday, February 5, 2010
View Original Story

nasema hivi huyo michael karoli atueleze alitaka kumpa milioni kumi jerry muro ili afichiwe uovu upi?

muro hana kosa

mxxxxxxxxyyyyynz@@

* Comment by nyembo
* Date Monday, February 8, 2010
View Original Story


Archive:

Copyright © 2010 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.