Darhotwire.com haitahusika na maoni ya msomaji yeyote
aliyotuma katika ukurasa huu kuhusiana na story zetu.
Kupiga Hodi kanda ya ziwa
Naipongeza sana bendi ya extra bongo, pamoja na ally choki. ila namshauri ally choki awe anatupigia kwanza nyimbo za zamani kidogo ili watu wafahamu kwamba wamerudi katika jahazai la muziki, kama ndanda kosovo alivyorudi alikuwa anapiga za enzi kwanza watu wakavuta hisia ndio akaanza na mpya, kwa upande mwingine vilevile itawasaidia hata hawa extra bongo, nyimbo yao kama KUTWA MARA TATU, NK. nawatakia kila laheri katika ziara zao zote na mafanikio mema.
* Comment by mr kapera
* Date Monday, February 8, 2010