Darhotwire.com haitahusika na maoni ya msomaji yeyote
aliyotuma katika ukurasa huu kuhusiana na story zetu.
Mbongo aliyeuawa India azikwa bila kichwa!
Familia na watanzania wote pole
Nashukuru serkali kughalimia.Mi ni Mtanzania niishiye USA,kwakweli matukio yanatokea kama hayo/tofauti lkn serkali yetu inaongelea wiki moja bila jibu kamili.Sasa tunaomba kamati nzima chini ya Balozi wa TZ nchini India kuhakikisha inatambua kiini na akina nani wahusika ktk tukio hilo chafu.Wajiulize ingekuwa M-india ktk TZ ingekuwaje?
* Comment by Numerianus Michael
* Date Sunday, February 7, 2010
View Original Story
Hao wauwaji ni noma,mie nadhani kuna sababu ya msingi juu ya tukio hilo la kama sivo na siye tunatakiwa kuanza na hawa wahindi wanaozagazagaa mitaani kwetu.
* Comment by Jino kwa jino
* Date Tuesday, February 9, 2010
View Original Story