Share |

siasa

Tundu Lisu na Wenzake wameachiwa kwa dhamana na masharti magumu

Habari za kuaminika ni kwamba  tundu lisu na wenzake wameachiwa kwa dhamana kutoka mahakama ya tarime.Lakini masharti aliyopewa ni kwamba asionekane nyamongo from today. source redio one breaking news. mwenye taarifa kamili aendelea kutujuza.