Share |

HABARI

Michezo

Kwa taarifa iliyotolewa na Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Boniface Wambura, mechi hiyo itachezwa katika muda huo ili kutoa fursa kwa mashabiki wengi kuhudhuria mchezo huo ili...

Kwani watayarishaji hao wa Filamu wamekuwa wakilazimika kuwatumia Wasanii, wasio na sifa katika fani hiyo ya Uigizaji na kusema kwamba amekerwa na utovu wa nidhani wa baadhi ya wasanii.

...

Biashara

Ule mgomo wa madaktari na serikali hatimae umefikia mwisho asubuhi hii baada ya waziri mkuu Mizengo Pinda kukaa meza moja na madktari na kukubaliana yafuatayo.

Kwanza Pinda aliingia...

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel imezindua rasmi huduma ya kununua mafuta ya gari kwa kutumia huduma ya Airtel Money katika vituo vya GAPCO.

Kwa mujibu wa kampuni hilo lengo la...

Muziki

Mwanadada mwenye kila ina ya mbwembwe na ambaye aliibukia kwenye shindano la Bongo Star Search, Baby Madaha, amejiunga rasmi kwenye Kundi la TMK Wanaume Halisi ambalo linaongozwa na Juma Kassim Ally Kiroboro ‘Sir Nature’.

...

Baada ya jana kumalizika kwa beef  la miaka kadhaa kati ya mahasimu wawili Mh. Joseph Mbilinyi (Sugu) na Mkurugenzi wa Clouds Media, Ruge Mutahaba.

Mh. Sugu ametoa taarifa kwa wapenzi wake ili wajue nini kilijiri kwenye makubaliano...

Maisha

Katika hali kudhibiti tabia mbaya ya uvaaji usiofaa kwa baadhi ya waumini, kanisa katoliki limeandaa mpango wa kukomesha uvaaji mbovu unaokwenda kinyume na maadili ikiwamo kuvaa vimini, nguo za kunyanyua matiti na milegezo kanisani baada ya kutangaza kuwavisha vazi la kaniki watakaovaa hivyo.

Matangazo ya kukemea uvaaji mbaya yamekuwa...

Ndiyo waandaaji wa Filamu hiyo Robert Mhangwa, imeshindwa kuingia Sokoni jana kama ilivyokuwa imepangwa kutokana na  ukosefu wa DVD yakiwemo na makasha ya kuhifadhia CD hapa nchini.

Ni ile Filamu iliyokuwa ikingojewa kwa hamu sana sokoni na wapenzi wa Filamu za Kibongo, inajulikana kwa jina la Shemeji na imeshindikana kuingia sokoni...

Siasa

Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa amemshauri Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema kuwaomba radhi wazee wa kimila wa kabila la Wameru ‘Washiri’ vinginevyo hali ni mbaya kwake na kundi lake.

Akiongea hayo jana wakati akizungumzia mambo ya uchaguzi mdogo wa Jimbo la Arumeru Mashariki.

Alisema maneno aliyoyaongea...

Wakati homa ya uchaguzi mdogo wa Arumeru ikianza kupanda, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi, Uchumi na Fedha, Mwiguru Nchemba, amewaomba wanachama wa chama hicho wilayani Arumeru kumuepusha na kazi ngumu aliyoipata katika kampeni za uchaguzi mdogo Jimbo la Igunga, akisema kuwa licha ya ushindi, alipungua zaidi ya...

Burudani

Kwani Msanii huyo alilitikisa anga la Bongo Fleva miaka ya mwanzoni mwa 2000, alisema baada ya kuamua kurudi kazini kwanza alipania kuachia wimbo wake.

Si mwingine bali ni yule Mkali wa Takeu Lucan Mkenda 'Mr Nice', kwa sasa yupo tayari kuanza kufanya maonyesho baada ya kumaliza kazi ya kutengeneza video ya wimbo wake mpya '...

Aliamia mashujaa akitokea Twanga Pepeta, alisema hayo kwenye semina maalumu iliyoandaliwa na wandaaji wa tuzo hizo kwa wanamuziki.

Hayo yalisemwa a mwanamuziki wa Bendi ya muziki wa dansi ya Mahujaa, Charles Gabriel ‘Chalz baba’ huku akiwalalamikia waandaaji wa tuzo za muziki za Kilimanjaro kwamba wamewasahau  wanamuzi...

Mitindo na Urembo

Mwili wako uliumbwa kwa ajili ya kufanya kazi (manual labour) kama vile kusukuma, kuvuta, kubeba, kutembea, kuruka, kuimba, kucheza, kusakata rhumba, kuinama, kuinuka, kukimbia, kukusanya, kupanda (climb) kuwinda nk.

Tunapofanya kazi yoyote kimwili ubongo huweza kutoa aina za kemikali (endocrines) ambazo hutuwezesha...

Dining room ni sehemu ambayo hutumika kulia chakula. Nyumba nyingi huwa na chumba hiki lakini huwa hakitumiki maana watu wamezoea kula chakula kwenye makochi huku wakiangalia televisheni.

Ili watu wa familia yako wafurahie na wapende kula kwenye dining room inakupasa kuwa mbunifu ili pawe ni mahali penye mvuto na...