Huu ni mkwara kwa majambazi.
Serikali imewachimba mkwara wanaojishughulisha na
vitendo vya uhalifu wilayani Tarime na kuwataka
kuacha mara moja, kwani imejizatiti kukabiliana nao
kikamilifu.
Mkwara huo ulitemwa na Makamu wa Rais Dakta Ali
Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na wananchi wa
Tarime.
Makamu wa Rais amesema ujambazi, uvunjaji wa nyumba
na kuiba na kilimo cha bangi ni vitendo
visivyokubalika na wale wanaoshirikiana na wahalifu
hao dawa yao inachemka.
Mkoa wa Mara unaongoza kwa vitendo vya uhalifu hasa
wa mifugo ni hiyo salamu pekee kwa majambazi hao
kutoka Makamu wa Rais.

Gonga hapa kutoa
maoni yako kuhusu story hii...!!!

Gonga hapa kusoma
maoni hayo...!!!
Mtumie Rafiki |
Print nakala