Share |

Je! Niwe rafiki yake?

irinemwacha@yahoo.com

Nina mchumba wangu yupo mbali na mimi. Nilishaenda kwa wazazi wake lakini tatizo kuna siku nilimpigia simu mwanamke akapokea then huyo mwanamke akanikashifu niachane na mume wake! Mimi sikumjibu chochote.

Sasa huyo mwanamke amejirudi kwagu ananiamba niwe rafiki nae tusigombane kwa sababu ya mwanaume. Je mimi nifanye ama niwe  niwe rafiki yake?