rafiki zangu ,wananikatazia nisimuoe
umri wangu 28yrs.nimetokea kumpenda msichana nia na mathumuni nifunge naye ndoa,lakini marafiki zangu wa karibu pamoja na ndugu zangu hawataki eti wanadai wanawake wa mjini Bongo hawawi na mume mmoja ataendea nje na anawesa kunipa ukimwi,wazee wangu wako moshi nimewajulisha wakaniambia sawa ila nitafute mke mwenye tabia mzuri kabisa:ni mie Abeid kilolo
« Jadili suala letu la leo »
Je unalo linalokutatiza ?
Gonga
[hapa] kuniandikia
Mtumie Rafiki
Print nakala