Tafuta DHWTangazaTuandikie
Rangi za nyumba

Usiwe umekremisha kuwa rangi ya nyumba ni nyeupe ....siku hizi mambo yanaenda ndivyo sivyo

rangi ya nyumba siku hizi unaweza ukakuta sebule moja ina rangi zaidi ya tano usishangae ndo vijimbambo.

Katika pita pita yangu si nikakuta sebule ya mtu ina rangi kadhaa ndipo nikahoji mbona umepaka rangi tofauti.....

....he we wawapi siku hizi ni fashion kuna interio designa ndo wanashauri rangi ya ukuta inabidi imech na furnichure...sasa mie nina sofa za cream ndo maana unaona rangi cream upande huu, mito ya makochi ni apple green ndo maana upande huu nimepaka apple green na kapeti inaunjano na stend ya tv na kabat ni white ndo maana unaona kuna rangi nyeupe.

Sio siri mi nilikuwa nikiona kwenye maduka na masaloon nilijua ni katika kuvutia kumbe ni fashion....haya wadau.


 Gonga hapa kutoa maoni yako kuhusu story hii...!!!
 Gonga hapa kusoma maoni hayo...!!!

 Mtumie Rafiki |   Print nakala

 

Archive/Kumbukumbu:


Copyright © 2007 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.