Pensi Nyanya.....Gaucho....Kapri
Najua wengine mwasoma hii huku mwasmile!! nimewakumbusha mbali eeee wala si mbali saaana,warembo tupo pamoja na hili kwani pensi nyanya kwa sasa ipo mtaani na imebatizwa jina la Gaucho
Ni aina ya pensi ambayo ipo katika material ya fulana ambayo mengi ni mafupi hadi magotini wakati baadhi ni marefu hadi chini
Nayo yapatikana ya kila rangi huku mengine yakiwa yamenakshiwa na urembo wa kudariziwa au vito vya rangi mbali mbali..hakika yanapendeza,
Naomba ningezee na style hii ambayo wataalam wanaiita ’Kapri’
ni kaptura fupi na za kubana ambazo zimepindwa chini au kupasuliwa pembeni katika kuweka nakshi,nazo bibi zipo katika fashion usije ona ukashangaa
Nyingi zinaishia juu ya magoti,nazo unazikuta katika rangi tofauti,katika material ya vitambaa vya suruali na hata jeans...aaaa!! sio siri zinapenda
leo naishia haya ciao!!!!!!

Gonga hapa kutoa
maoni yako kuhusu story hii...!!!

Gonga hapa kusoma
maoni hayo...!!!
Mtumie Rafiki |
Print nakala