SHE IS MY SISTER
She is My Sister
Mtunzi:Kanumba
Waigizaji:Kanumba, Monalisa, Nkiru Sylvanus (Nigeria)Mercy Johnson (Nig)
Mtayarishaji Mtitu Game na Ogedegbe Film(Nig)
Ni filamu inayohusu mahusiano kwa ujumla ambapo Kanumba anaopolewa na Monalisa akiwa choka mbaya kijijini Nakuja mjini anapigwa soap soap na kupendeza anatekwa na penzi la shoga ake Monalisa Nkiru. na kuamua kummwaga Monalisa na kumtelekeza na mtoto na kunyang'anya malizake
Mdogo wake Mona anafunga shule kuja mtembelea dada yake anakutakana na hicho kisanga na kuamua kulipiza kisasi kwa kumlaghai kanumba na kufanikiwa kumteka kimapenzi na kurejesha vitu vya dada yake vyote na kuamuacha kanumba mtupu......na hapo ndo Mohalisa alisikika akisema..... She is My Sister ..My Savior

Gonga hapa kutoa
maoni yako kuhusu story hii...!!!

Gonga hapa kusoma
maoni hayo...!!!
Mtumie Rafiki |
Print nakala