Tafuta DHWTangazaTuandikie
Ni bedroom na c changing room!!



Huko ndo kuleee tunapomalizia siku zetu na tunapatumiaga kwa muda mrefu zaidi ukilinganisha na sebuleni, jikoni na hata maliwato...si ndipo tunapolala au we walala masaa mangapi?

Anyway sasa hapa nilitaka nizungumzie mandhari ya chumba cha kulala kinavyotakiwa kuwa......Huko utakikuta kitanda, Dressing table si wajua ukiamka lazima ukague uso ujiweke sawa......Kibongo bongo utakuta kabati languo huko huko.

Lakini inatakiwa kuwepo nachanging room mahsusi kwa ajili ya kuvaa....ni katika pita pita za huku nakule nilikatiza nyumba moja hvi ya wazungu ndipo nikakuta kachumba kama mastoo kimetundika nguo na kioo ndipo nikaauliza hiki inakuwaje

...Hii ni changing room...kile ni chumba cha kulala huku ndipo unakuja kuvaa nguo na kuna shoe rank ya viatu pia...kila kitu kinachohusiana na mavazi unakipata huko...

Haya wajemeni najua kwa sasa mlipo kuanza kutenga chumba cha kuvalia nguo itakuwa mtego...tipu mkijaaliwa kujenga inshaallaw...msisahau kutenganisha changing room na bedroom plz.....




 Gonga hapa kutoa maoni yako kuhusu story hii...!!!
 Gonga hapa kusoma maoni hayo...!!!

 Mtumie Rafiki |   Print nakala

 

Archive/Kumbukumbu:


Copyright © 2007 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.