REVENGE
Mtunzi:-Blandina Chagula 'Johari'
Muongozaji:-Vicent Kigosi 'Ray'
waigizaji:-Johari, Ray,Magari,Mainda, Tea
Ni filamu inayoonyesha kisasi kama ilivyo jina lake, ambapo Ray anasafiri kikazi na rafikie bila baraka za mkewe ambaye alikuwa ni mja mzito akiwa masomono anapeta taarifa mkewe ni mgonjwa anaamua kurudi na kukuta mkewe Tea kafariki na kujikutna anakosa yote kazi na mke...ndipo anakutana na Johari akiwa na mtoto mdogo baada ya kufukuzwa na wazazi baada ya kupewa mimba na mzazi mwenzio kumtelekeza, wakaamua kuishi pamoja ndipi rafkie Ray anarudi kutoka masomoni nakuja kumuangalia Ray na kukutana na Johari mwanamke alimempa mimba ndipo kisasi kilipoanzia na mauaji yanafanyika

Gonga hapa kutoa
maoni yako kuhusu story hii...!!!

Gonga hapa kusoma
maoni hayo...!!!
Mtumie Rafiki |
Print nakala