Tafuta DHWTangazaTuandikie
KITCHEN PARTY


mtayarishaji:- Kessa Mwambeleko
Muongozaji:- Myovela Mfwaisa
Waigizaji:- Shenaz, Zimpopa pompa,Leila na paison

Ni filami inayohusu kitchen party ambapo ni funzo kwa biharusi mtarajiwa jinsi ya kuishi katika ndoa ambapo makungwi Shenaz na Zipompa popa wanatoa darasa la usafi, upishi , kuridhisha , Heshima ...Nani kasema ndoa ni limbwata,nani kasema ni tunguli, au uchawi??? wanaosema hayo ni waongooo limbwata ni wewe mwenyewe shost kufahamu mumeo anataka nini,hataki nini ne mengineyo






 Gonga hapa kutoa maoni yako kuhusu story hii...!!!
 Gonga hapa kusoma maoni hayo...!!!

 Mtumie Rafiki |   Print nakala

 

Archive/Kumbukumbu:


Copyright © 2007 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.