Tafuta DHWTangazaTuandikie
HARUSI YA CANDY


Mtunzi:-Tuesday Kihangala
Waigizaji:- Angel John 'Candy',Michael Kigahe 'James',Matron,mamtei

Candy anataka kuolewa na anamchagua shoga ake...kuwa matron bila kujua kuwa matron wake anamtamani mchumba wake ambaye ni mumewe mtarajiwa, shost anaandaa mipango bi harusi anatekwa na baada ya kutekwa ye anamwambia bwana harusi alikuwa anajua alipoenda Candy kuwa alikuwa na bwana wake wa zamani hivyo ndo walipanga amtoroshe....Bila kuwaza jamaa akasema basi nasie tufanye kweli katika process sasa za ndoa ndipo ukweli unakuja kugundulika kuwa Candy ametekwa na aliyesuka huo mpango ni Bi shost...Isake basi tuje ichambua




 Gonga hapa kutoa maoni yako kuhusu story hii...!!!
 Gonga hapa kusoma maoni hayo...!!!

 Mtumie Rafiki |   Print nakala

 

Archive/Kumbukumbu:


Copyright © 2007 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.