KANISA LA LEO
Waigizaji:-JB, Rich Rich,Bishanga, Zimpopa
Imeandaliwa:-Jerusalem Film Production
Kama jina linavyojielezea filamu hiyo inahusu jinsi makanisa ya sasa hivi yaliyojazana yanavyoendeshwa, ndani yake utamkuta JB ambaye anakuwa ni mchungaji wa kanisa anayetumia hirizi ili afanikiwe kuwapata waumini mwisho , kutokana na hilo anakuwa hana imani ya kiroho analeta majungu na kumfanya mchungaji mwenzie asimamishe na akaenda anzisha kanisa lake ambalo linapata waumini, kama ilivyo za mwizi 40 siri yake ilikuja fichuka baada Zipompa pompa kukuta hirizi kwenye bibilia ya mchungaji JB

Gonga hapa kutoa
maoni yako kuhusu story hii...!!!

Gonga hapa kusoma
maoni hayo...!!!
Mtumie Rafiki |
Print nakala