Tafuta DHWTangazaTuandikie
DAR 2 LAGOS


Ni filamu ambayo ilionyesha mapinduzi ambapo waigizaji wa kibongo walipoenda nchini Nigeria ambako kunaaminiwa wapo juu katika uigizaji katika nchi za kiafrika

Mtunzi:-Kanumba
Waigizaji:-Mercy Johnson,Nancy Okeke,Bomba Akintoka(Nig),Kanumba,Imanuel Myamba,Mr Manento(TX)

Kanumba anaonekana ni kijana mwenye nidham na heshima na kutokana na hekima zake anaadoptiwa na mzee ambaye anamuamini na kumpa kazi na mwisho anaamua kumtuma Kanumba kwenda kuwasaka wanae waliopo nchini Nigeria akiwa huko anashindwa kuwapata watoto hao kwa kuwa walibadilisha majina na bila kujua anaanza uhusiano wa mapenzi na mmoja wa watoto ha huyo baba ....waliporudi Bongo wanakkuja gundua kumbe wao ni nduguu.....hiyo ndo Dar to Lagos Knowledge before Marriege


 Gonga hapa kutoa maoni yako kuhusu story hii...!!!
 Gonga hapa kusoma maoni hayo...!!!

 Mtumie Rafiki |   Print nakala

 

Archive/Kumbukumbu:


Copyright © 2007 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.