RIZIKI (MWANZO WA CHUKI)
Waigizaji:-Kanumba,Johari na Jenguo
Imeongozwa:- Juma Chikoka
Wakati mwene unaweza kuingia katika mateso makubwa kudhani riziki uliyonayo ni yako lakini kumbe unajikita katikati ya matatizo na riziki uliyonayo ni yako kumbe unajikita katika matatizo na riziki hiyo kuwa mwanzo wa chuki na familia...siku merina anapomkaribisha Majaliwa kwao ndio siku anayofumwa na baba yake wa kambo na adhabu yake ilikuwa ni kumbakwa na mzee huyu.Bahati mbaya au nzuri Merina anapata ujauzito mtoto anazaliwa na kupewa jina la riziki na kupelekea Merina kufuzwa nyumbani na ndio kizaa zaa kinapoanza

Gonga hapa kutoa
maoni yako kuhusu story hii...!!!

Gonga hapa kusoma
maoni hayo...!!!
Mtumie Rafiki |
Print nakala