Tafuta DHWTangazaTuandikie
MASAA 24


Waigizaji:-Hawa, Kaisi, Bonge, Cheni, JB
Muongozaji:-john kalage.

..kais kijana mtaratibu anakutana na msichana mrembo hawa kwenye boat toka zanzibar kwenda dar. hawa alikuwa hajiwezikwenye boat na kuanza kutapika katika kumsaidia ndipo wakaanza uhusuani na kisha kufikia kuoana, Cheni rafiki wa Kaisi alimtamani Hawa tangu siku ya Engegement part ndipo ikaja siku nyumbani kwa kaisi kuna sherehe Cheni na Hawa wakajisunda chumbani wakiwa wanakula uroda ndipo mumewe Hawa alipowakuta ila hakuwastua na kukaa kimya huku anaumia roho ambapo katika harakati Cheni alisahau cheni yake Kaisi akaanza uchunguzi zaidi ambapo kuna siku mkewe aliaga anaenda kwa shangazi hakwenda na kwenda kwa cheni aliyeaga kazini kuwa anaumwa kichwa ndipo Kaisi alipothibitisha kuwa mkewe anamchet na kwenda kwa Cheni na kumchukua Cheni ili waende kazini ambako alienda mbananisha Cheni kubisha akamuonyesha saa yake Chen anakuwa mdoogo na kuanza kupea kipondo wakati kaisi anatoa Bastola ammalize Cheni ndipo JB anammwambia aichie mahakama na Kaisi anaweka bastola chhini pembeni Hawa anagaragara kuomba msamaha ambao kaisi haukubali


 Gonga hapa kutoa maoni yako kuhusu story hii...!!!
 Gonga hapa kusoma maoni hayo...!!!

 Mtumie Rafiki |   Print nakala

 

Archive/Kumbukumbu:


Copyright © 2007 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.