PENINA
Waigizaji:- Kanumba,Monisha Malugu 'Agness',Davina 'Tina',Cheni, Emanuel,Magari
Imeandaliwa :-Game 1st Quality
Kanumba anampa mimba Monisha Malugu na kumkataa , anaona maisha hayamnyookei anaambiwa na mchungaji kwenda omba msamaha aliowakosea kuja kuhamaki mrembo Monisha akawa kasafiri kwenda masomoni baada ya kuitoa mimba ile, hakuwa najinsi hadi alipoenda kanisani na kukutanishwa na mrembo Penina ambaye nae alikuwa anasaka mchumba wakafanikiwa kufunga ndoa ,ambapo Kanumba alikuwa busy na kazi na kutompa mkewe kile atakacho na Penina kutafuta suluhisho kwa kwenda kwa mchungaji ambapo shoga ake Davina anamshauri aende huko aombewe na atapandishwa na cheo kazini,
Akiwa huko akakutanishwa na David ambaye alitokea Marekani kuja msaka mchumba nae akavua pete na kudai hajaolewa kila kitu kikaenda sawa hadi alipomuaga mumewe kuwa anaenda kusalimia wazazi wake na kwenda kufunga ndoa na David aKiwa huko bahati mchungaji aliyemuoza kwa Kanumba ndiye aliyealikwa kuwafungisha ndoa ndipo alipogundua bi harusi ni Penina na ndoa ikavunjikia hapo Penina akakosa yoote.

Gonga hapa kutoa
maoni yako kuhusu story hii...!!!

Gonga hapa kusoma
maoni hayo...!!!
Mtumie Rafiki |
Print nakala