SIRI 'THE SECRET'
Mtunzi:-Sultan Tamba
mtayarishaji:-Kessa Mambeleko
Muongozahi:-Hammie Rajab
Waigizaji:- Banana, Sinta,Ummy,Stara,Taji liundi,Jimmy,Jafarai
Ni familia ambayo iliachiwa urithi baada ya wazazi kufa kutokana na tamaa ya mali ,Dada Stara anapanga mauaji na majambazi ili wamuue kaka ake ambaye alikuwa mtangazaji wa redio Jimmy , ndipo mdogo wao mbaye ni Banana alipoona mambo hayako sawa na kuhisi kuna mchezo mchafu ambao umechezwa na dada ake anahisiwa kuwa anahusika na mauaji na upelelezi unaanza na kutiwa hatiani...ndo siri iyooo

Gonga hapa kutoa
maoni yako kuhusu story hii...!!!

Gonga hapa kusoma
maoni hayo...!!!
Mtumie Rafiki |
Print nakala