DANGEROUS DESIRE
Waigizaji:-Ray, Kanumba, Nora, Johari, Bi Mwenda
Imeandaliwa:-Mtitu Game 1st Quality
Kanumba na Ray ni mtu na kaka yake inatokea wanaoa marafiki wawili ambao ni Nora na Johari, Ray anakuwa hana uwezo wa kuzaa na kumuomba Kanumba amsaidie kwa kutembea na mkewe ambaye ni Johari kwa siri bila Johari kujua ili azae, mwanzoni Kanumba anakuwa mgumu kukubali ila mwisho wa siku anakubali ,Kanumba ananogewa na kushindwa itunza ile siri na kuanza kutoa siri baada ya kulewa kitendo kinachopelekea tafrani katika familia zote mbili....

Gonga hapa kutoa
maoni yako kuhusu story hii...!!!

Gonga hapa kusoma
maoni hayo...!!!
Mtumie Rafiki |
Print nakala