Tafuta DHWTangazaTuandikie
EMORATA

EMORATA
Waigizaji:-Cloud, MamaTicha, Ticha, Eggy, Check Bud
Waandaaji:-Splendid Production

Ni filamu inayoelezea masuala ya Ukeketaji, kwani ukeketaji ni tatizo kubwa duniani na hasa nchini kwetu Tanzania, Wakina mama wengi wamepoteza maisha yao kutokana na mila hii ambayo imepitwa na wakati.

Katika filamu hii msichana Eggy anajifungua salama lakini anakumbwa na matatizo mengi wakati wa kujifungua baada ya kukeketwa na anamuweka roho juu mumewe Checkbudi na familia yake.

Usikose filamu hii ambayo ina kila kitu ndani yake muziki furaha, huzuni na elimu tele juu ya madhara ya ukeketaji


 Gonga hapa kutoa maoni yako kuhusu story hii...!!!
 Gonga hapa kusoma maoni hayo...!!!

 Mtumie Rafiki |   Print nakala

 

Archive/Kumbukumbu:


Copyright © 2007 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.