Tafuta DHWTangazaTuandikie
ITUNYAMA

Ni filamu inayohusu enzi za zamani jinsi binti wa kiafrika aliyejitoa muhanga kumtafuta mchumba wake, aliyechukuliwa utumwa katika misitu minene yenye hatari nyingi akiamini ndoto yake kutimia.

Biashara ya Utumwa ilishamiri katika karne ya 18, watu waliuzwa kama bidhaa kwani walichukuliwa toka katika makazi yao ya tawala za watemi na kuweza kuuzwa katika bara la Amwrika, Ulaya na Australia katika Pwani ya Afrika Mashariki.

Wageni hao waliingia na kutwaa watumwa lukuki miongoni mwa watumwa hao, wengi waliweza kuuwawa na kuweza kupata mateso makubwa ndani ya misafara iliyosheheni watumwa 200 hadi 500.



 Gonga hapa kutoa maoni yako kuhusu story hii...!!!
 Gonga hapa kusoma maoni hayo...!!!

 Mtumie Rafiki |   Print nakala

 

Archive/Kumbukumbu:


Copyright © 2007 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.