COPY
Waigizaji:- Jacob Steven, Eddy Shariff, Khalfani Ahmed (kevin), Elizabeth Chijumba (Janeth), Singo Mtambalike (Enock),
Waandaaji:- E2Y Production
Mtunzi:- Khalfan Ahmed
Ni Filamu inayoelezea juu ya mkusanyiko wa wasanii mahiri nchini, kama msichana Janeth (Elizabeth Chijumba) anayeamua kuachana na mchumba wake Singo Mtambalike (Enock), baada ya kumfumania zaidi ya mara nne, kwani Enock ni mtoto wa rafiki wa baab yake (Jacob Steven).
Baadaye Janeth anakuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwana muziki wa Bongo Fleva aitwaye Kevin (Khalfani Ahmed), lakini baba yake hamtaki Kevin na ndipo balaa na mvutano unapoanza.
Huku baba yake na Janeth anatafuta mbinu za kumtenganisha binti yake na mwanamuziki huyo, huku anatokea Janeth mwingie wa kimiujiza.
Janeth huyo ambaye ni COPY anasababisha mtafaruku pamoja na majozi makubwa kwa watu wanaompenda.
Kazi kwako niisje nikakumalizia uhondo,... tazama na ujionee mwenyewe kwa macho yako mawili.

Gonga hapa kutoa
maoni yako kuhusu story hii...!!!

Gonga hapa kusoma
maoni hayo...!!!
Mtumie Rafiki |
Print nakala