Tafuta DHWTangazaTuandikie
MZIMU WA MLILO

Washiriki:- SEMBE, LEYLA, SUZAN

Mzee Sembe (R.Msoko) ni mkazi wa kijiji cha wasemao, anaishi na familia ya mke Bi Lyela na mtoto wa pekee wa kike Suzan, Mzee Sembe anategemea sana kilimo cha jembe la mikono kulingana na ukosefu wa mvua na maisha kuwa ya tabu sana.

Katika masiha hayo ya tabu mkewe anaamua kutoa sehemu ya mali (hazina) aliyokabidhiwa na baba yake mzee MLILO, pamoja na kuwa na matumizi ya mali hiyo ni ngumu lakini anaamua kumueleza mumewe na kumkabidhi.

Maisha ya mzee Sembe yanakuwa na mafanikio makubwa na kuweza kuamia mjini Dar es salaam, kwani maisha ya huko ni raha mustarehe yeye pamoja na familia yake.

Kwani siku zinavyozidi kwenda bwana Sembe anazidi kukauka masharti na kuiweka familia yake katika hali ngumu.

Picha_1


 Gonga hapa kutoa maoni yako kuhusu story hii...!!!
 Gonga hapa kusoma maoni hayo...!!!

 Mtumie Rafiki |   Print nakala

 

Archive/Kumbukumbu:


Copyright © 2007 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.