SEGITO
Mtunzi:Janet Mwanda Talawa
muongozaji:Ray
Waigizaji: Tea,Ray.Riyama,claud
Ni filamu inayomhusu mwanadada Tea'Segito' anafiwa na mumewe mpenzi Claudi katika kuziba pengo anampendana na Ray kama mpenzi wake mtu ambaye hakuweza mpa pendo alilokuwa akilitarajia kutokana kuwa busy na kazi na ulevi, hadi alipozama katika penzi na mkaka mwenye ulemavu aliyekuwa mfanyakazi wake, huku marafiki zake wakiwa wanapinga saana hilo na Ray nae kuanza kutumia nguvu ya pesa kumtesa kijana wa watu lakini haayo yoote hayakuwa na pingamizi katika penzi la kweli kati ya Segito na mlemavu huyo ambapo mwishoni walikuja kufunga pingu za maisha.

Gonga hapa kutoa
maoni yako kuhusu story hii...!!!

Gonga hapa kusoma
maoni hayo...!!!
Mtumie Rafiki |
Print nakala